Social Icons

Wednesday, January 14, 2015

BIMA YA AFYA (CIHF)

Moja ya vitu ambavyo, wananchi wengi waliokata bima ya Afya, huwa vinawapa changamoto ni upatikanaji wa madawa kwa kutumia Bima,elimu inapaswa kutolewa kuhusu uwezo na kikomo cha bima kuhusiana na Tiba. hebu tazama simulizi hii , na utoe mchango wako