Social Icons

Saturday, January 18, 2014

Bwana Kazimoto

Filamu hii ni matokeo ya mafunzo ya wakufunzi wa mradi wa Simulizi za vijana yaliyotolewa na TACCI, imefanikishwa kupitia mradi wa TMF kwa kuwawezesha vijana kutoa simulizi kidigitali

7 comments:

  1. mmh kweli ili ni fundisho kwa vijana na wenye ndoa pia

    ReplyDelete
  2. Kazi moto nomaa ! yani yeye tu ni kishoka namna hii, yani kwa maisha ya dizayini hii HIV itateketeza familia nzima, tuwaombe akina kazi moto wengine wabadili tabia

    ReplyDelete
  3. baba anataka na mtoto wanachangia mwanamke, haipendezi kabisaaaa, tujiadhari

    ReplyDelete
  4. ah ah ah ah ah ah ah ah nimefurahi lakini pia nimejifunza ah ah kazi motoooo

    ReplyDelete
  5. Kazi kweli moto moto ila tusifurahi tu,inabidi tujifunze pia

    ReplyDelete
  6. haya kweli majanga baba na mtoto choo kimoja jamani
    muelimike mkiendekeza tamaa na pombe ukimwi utawamaliza wakina kazi moto

    ReplyDelete