Social Icons

Thursday, February 6, 2014

MKULIMA HOI

 Pamoja na vijana kujitahidi kufanya kazi za ukulima ili waweze kujikwamua kimaendeleo,ni dhahiri kuwa jitihada hizo zinaweza kuwa mithiri ya mbio za sakafuni ziishiazo ukingoni,endapo akutakuwa na juhudi madhubuti za kuanza kutumia dhana za kisasa kwa ajili ya shughuli za kilimo.

5 comments:

  1. mmmh ukulima nao una majanga

    ReplyDelete
  2. wakulima wajiadhari kwa kuvaa mabuti wakati wa kufanya kazi za shambani

    ReplyDelete
  3. maskini mkulima huyu, hakumuona nyoka

    ReplyDelete
  4. jamaani pole kijana

    ReplyDelete
  5. NI KWELI WAKULIMA INABIDI TUJILINDE HASA TUNAPOFANYA UKULIMA WETU MAANA UKULIMA WA KUTUMIA JEMBE UNATENGEMEA NGUVU ZA MIILI YETU SASA TUKIWA SIYO WAANGALIFU NA KUPOTEZA MGUU AU MKONO ATUTAWEZA KUENDELEA NA KAZI ZETU ZAUKULIMA

    ReplyDelete