Pamoja na vijana kujitahidi kufanya kazi za ukulima ili waweze kujikwamua kimaendeleo,ni dhahiri kuwa jitihada hizo zinaweza kuwa mithiri ya mbio za sakafuni ziishiazo ukingoni,endapo akutakuwa na juhudi madhubuti za kuanza kutumia dhana za kisasa kwa ajili ya shughuli za kilimo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






mmmh ukulima nao una majanga
ReplyDeletewakulima wajiadhari kwa kuvaa mabuti wakati wa kufanya kazi za shambani
ReplyDeletemaskini mkulima huyu, hakumuona nyoka
ReplyDeletejamaani pole kijana
ReplyDeleteNI KWELI WAKULIMA INABIDI TUJILINDE HASA TUNAPOFANYA UKULIMA WETU MAANA UKULIMA WA KUTUMIA JEMBE UNATENGEMEA NGUVU ZA MIILI YETU SASA TUKIWA SIYO WAANGALIFU NA KUPOTEZA MGUU AU MKONO ATUTAWEZA KUENDELEA NA KAZI ZETU ZAUKULIMA
ReplyDelete