Social Icons

Tuesday, March 11, 2014

BABU MASTER

Imani za kishirikina chanzo cha matatizo katika jamii,tazama kisa hiki, jinsi babu alivyo sababisha majanga...

3 comments:

  1. Watanzania tubadilike maana imani za kishirikina ndio chanzo cha maovu mengi.

    ReplyDelete
  2. Bila jamii zetu kubadilika maendeleo katika jamii zetu yatakuwa ya taratibu sana.

    ReplyDelete
  3. watu wengi wengi sana wanapotea kwa kuendekeza imani za kishirikina. Kuua au kuharibu ndugu ili wapate utajiri hii ni mbaya sana. Tunatakiwa kubadilika tupendane. Tuache kutoa sadaka wenzetu.

    ReplyDelete