kazi fupi lakini imenigusa sana maana jamii zetu nyingi zimekuwa na changamoto ya wazazi kuto jali elimu ya watoto...wazazi tuamke kwani elimu ni ufunguo wa maisha
yaani mzazi anashindwa hata kufuatilia shuleni kujua watoto wake watarudi vipi kuendelea na masomo kakaaaa tu, kweli elimu bado inatakiwa sana haswaaa huko vijijinii.
kazi fupi lakini imenigusa sana maana jamii zetu nyingi zimekuwa na changamoto ya wazazi kuto jali elimu ya watoto...wazazi tuamke kwani elimu ni ufunguo wa maisha
ReplyDeleteKAZI NZURI WAMENIGUSA
ReplyDeletewazazi tuamke la si ivyo watoto watatulaumu baadae
ReplyDeleteElimu ndio urithi ulio bakia ivyo wazazi kweli inabidi tubadilike
ReplyDeletekazi nzuri nadhani itakuwa fundisho kwa wazazi wengi
ReplyDeleteKazi nzuri wamejitahidi
ReplyDeleteNi kweli hii imenikumbusha yaliyo nikuta miaka mingi iliyo pita on
ReplyDeleteKazi nzuri wamejitahidi
ReplyDeletekazi nzuri nadhani itakuwa fundisho kwa wazazi wengi
ReplyDeleteElimu ndio urithi ulio bakia ivyo wazazi kweli inabidi tubadilike
ReplyDeleteJAMANI SIYO WAZAZI TU HATA MWALIMU MBONA MKALI SANA...ANAWAFUNDISHA NINI WATOTO WETU,WALIMU TUBADILIKE...ALAFU UYO MZAZI AJUI UMUHIMU WA ELIMU???
ReplyDeleteyaani mzazi anashindwa hata kufuatilia shuleni kujua watoto wake watarudi vipi kuendelea na masomo kakaaaa tu, kweli elimu bado inatakiwa sana haswaaa huko vijijinii.
ReplyDelete