Social Icons

Tuesday, March 11, 2014

NDAKA

Msimamo katika mila na desturi zinachangia katika maambukizi ya VVU.Mila ya utakaso mkoani lindi maarufu kama Ndaka ambayo hufanyiwa mwanamke baada ya kujifungua mtoto aliye fariki inalete kutokuelewana katika familia ya Mzee Lule fuatilia simulizi hii.....

4 comments:

  1. duuh hii kweli noma

    ReplyDelete
  2. jamanii hii kweli balaa

    ReplyDelete
  3. MIMI NI MKAZI WA LINDI KWELI HILI NI TATIZO KWA MAANA LILIWAHI KUNITOKEA BINAFSI ILA KUTOKANA KUPATA ELIMU NIKAWEZA KUKATAA KUFANYIWA UTAKASO JE HAO AMBAO HAWANA ELIMU?KWELI HII VIDEO INATAKIWA IWAFIKIE NA WAO ILI WAWEZE KUAMKA.

    ReplyDelete