Social Icons

Monday, March 31, 2014

ADHA YA MAJI

Maji! maji!....maji ni uhai,lakini tusipo angalia maji yanaweza kuzua matatizo katika jamii,angalia jinsi shida ya maji ilivyo sababisha ugomvi.

2 comments:

  1. Maji tabu kweli! Na ndo mazingira hatunzwi!

    ReplyDelete
  2. tuna vyanzo mbalimbali vya maji lakini kwa nini maji yanakuwa tatizo katika sehemu mbalimbali nchini???natoa ombi kwa serikali kusaidia wananchi hasa katika kuondoa ili tatizo la maji

    ReplyDelete