Social Icons

Tuesday, March 11, 2014

TRANSFOMER

Daladala hazikosi vituko, angalia kisa hiki...

9 comments:

  1. INANIKUMBUSHA USAFIRI WA KWENDA KWETU MBAGALA,HASA UKIWA UNATOKA UBUNGO MBAGALA ALAFU UWE UMESIMAMA.....NIMEKUMBUKA MBALI SANA VIJANA WABUNIFU SANA,HONGERENI KWA KAZI NZURI

    ReplyDelete
  2. Kweli aya mambo yanatokea kila siku hasa kwa sisi tunaopanda daladala ni kama tumepata mtu aliye guswa na changamoto zetu za kila siku jamani serikali tunaomba kutusaidia kuweka magari ya kutosha ili uwepo ustarabu katika daladala zetu.

    ReplyDelete
  3. MMH JAMANI HII ADHA YA USAFIRI NI TATIZO SUGU SASA ....KUME SIYO DAR ES SALAAM TU HATA LINDI PIA,HONGERENI VIJANA KWA KUTUSAIDIA KUFIKISHA UJUMBE..

    ReplyDelete
  4. Sipati picha ingekuwa hivi hapa dar. Ukimkanyaga mtu unamlipa hela ya kula aisee nahisi tungeogopa kupanda daladala maana kukanyagana ni kawaida kabisaaaaa! au wengine wangetumia hii kama chanzo kimojawapo cha kipato.
    Very interesting story.

    ReplyDelete
  5. Ugumu wa usafiri, ndio maana kila mtu anataka kununua gari yake,ili kuweza kusafiri kwa utulivu na kwa ustaharabu,na ivyo kuongeza msongamano wa magari na foleni zisizo isha.

    ReplyDelete
  6. imetsha sana kwel tatzo hili lipo.vbaka wanambinu nyingi za kujitafutia rizik.inatubid kuwa macho

    ReplyDelete
  7. Hii ndio adha ya daladala.

    ReplyDelete
  8. Tuwe macho abiria!fundisho hili

    ReplyDelete
    Replies
    1. kweli mjini mipango kijijini kilimo chezea watu na akili zao mjini hapa! nao wakale wapi/

      Delete