Social Icons

Tuesday, March 11, 2014

KICHWA CHA FAMILIA

Kijana anafukuza mama yake pamoja na wodogo zake kufuatia ushauri wa mke wake, fuatilia..

4 comments:

  1. jamani wanaume tujifunze na tueshimu mama zetu maana wametuzaa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ila wakwe wengine ni nouma, kama umewahi kuona movie moja inaitwa 'Monster in Law' ya J'lo ndio utajuwa wakwe walivyo ma-monster.

      Delete
  2. Tuwe tunafanya utafiti kwanza kabla ya kufanya maamuzi magumu kama hayo.

    ReplyDelete
  3. Hatuwaambii muwachukie wake zenu ila wasiwalaghai mkaja kulaaniwa bure, na kutengwa na jamii.

    ReplyDelete