Social Icons

Monday, March 31, 2014

KUFA KWA NDOTO

Umaskini ni chanzo cha kufa kwa ndoto nyingi hasa pale baba anakuwa ajui umuhimu wa elimu fuatilia simulizi hii...

12 comments:

  1. kazi fupi lakini imenigusa sana maana jamii zetu nyingi zimekuwa na changamoto ya wazazi kuto jali elimu ya watoto...wazazi tuamke kwani elimu ni ufunguo wa maisha

    ReplyDelete
  2. wazazi tuamke la si ivyo watoto watatulaumu baadae

    ReplyDelete
  3. Elimu ndio urithi ulio bakia ivyo wazazi kweli inabidi tubadilike

    ReplyDelete
  4. kazi nzuri nadhani itakuwa fundisho kwa wazazi wengi

    ReplyDelete
  5. Ni kweli hii imenikumbusha yaliyo nikuta miaka mingi iliyo pita on

    ReplyDelete
  6. Kazi nzuri wamejitahidi

    ReplyDelete
  7. kazi nzuri nadhani itakuwa fundisho kwa wazazi wengi

    ReplyDelete
  8. Elimu ndio urithi ulio bakia ivyo wazazi kweli inabidi tubadilike

    ReplyDelete
  9. JAMANI SIYO WAZAZI TU HATA MWALIMU MBONA MKALI SANA...ANAWAFUNDISHA NINI WATOTO WETU,WALIMU TUBADILIKE...ALAFU UYO MZAZI AJUI UMUHIMU WA ELIMU???

    ReplyDelete
  10. yaani mzazi anashindwa hata kufuatilia shuleni kujua watoto wake watarudi vipi kuendelea na masomo kakaaaa tu, kweli elimu bado inatakiwa sana haswaaa huko vijijinii.

    ReplyDelete