Social Icons

Monday, March 31, 2014

MKANDA

Kutokuelewana kwa wazazi kunaweza kuwa chanzo cha maendeleo mabaya ya watoto  katika masomo yao na hata maisha yao kwa ujumla fuatilia kisa hiki...

4 comments:

  1. Hongereni sana vijana kwa juhudi za kuibua mabo muhimu. Je majibu ya matatizo kama hayo tutayapata je?

    ReplyDelete
    Replies
    1. naona kama majibu atatoka kwetu wanajamii kwa kushirikiana na kuyatatua kwa kusuluhisha migogoro ndani ya familia.

      Delete
  2. kwa kweli mambo kama haya yapo mengi kwenye familia nyingi sijui suluhusho hasa litakuwa ni nini?

    ReplyDelete
  3. hongereni vijana kwa simulizi zinazohusu jamii, wazazai tujitahidi kuepusha migogoro ya ndoa kwani ni chanzo cha matatizo kwenye familia

    ReplyDelete