Social Icons

Tuesday, March 11, 2014

BABA MWENYE NYUMBA

Nyumba za kupanga zinasaidia lakini zina matatizo, hasa pale unapokuta baba mwenye nyumba asiye kuwa na maadili. Fuatilia kisa hiki...

15 comments:

  1. bonge la hongera kwa lindi mnaweza kinoma mmeonyesha uhalisia halisi

    ReplyDelete
  2. Kweli Vijana wameamka haya ndio mapinduzi ya filamu.

    ReplyDelete
  3. duh kama mambo ya nyumba za kupanga ndio ivi inabidi kujenga mapema iwezekanavyo

    ReplyDelete
  4. jamani huyu baba mwenye nyumba ni noma

    ReplyDelete
  5. kweli ni noma...kama tabia zenyewe ndio izi kweli maambukizi ya VVU yataisha kweli!!

    ReplyDelete
  6. mmh vijana wamejitahidi kufikisha ujumbe kweli wenye nyumba wengine wanatabia kama izi kwa hiyo,kwa mfano huu wajirekebishe.

    ReplyDelete
  7. jamani hao wadada wanakazi na huyo baba mwenye nyumba,je mama mwenye nyumba yuko vipi????

    ReplyDelete
  8. Maskini wapangaji mbona kazi wanayo..

    ReplyDelete
  9. Kazi nzuri vijana wa Lindi wako juu,kweli ujumbe umefika kazi kwa wenye nyumba kujirekebisha.

    ReplyDelete
  10. JAMANI NAWASHUKURU SANASANA HAWA VIJANA MAANA UYU MWENYE NYUMBA WETU NI MTATA KAMA WALIKUWEPO...ASANTENI VIJANA

    ReplyDelete
  11. kazi mzuri sana munastaili pongezi kubwa inatufundisha mno kazi kwenu mwenye nyumba kujirekebisha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sio mwenye nyumba tu ndugu yangu,.,.hata wewe unahusika kwa namna moja au nyingine,.,.vitendo hivi vinahusisha kwanza hata mtu yule anayemiliki kitu na kutaka kumuumiza yule asiyekuwa nacho,.,.tuache TAMAA na tujitambue,.,.KAZI KWETU SOTE,.,.

      Delete
  12. kweli lucamy unachosema maana mwenye nacho siku zote hutafuta jinsi ya kumyanyasa asiye kuwa nacho...changamoto ni kufanya jitihada ili nawe uweze kupata cha kwako,na ivi vitu ndio vina mpa mtu nguvu ya kufanya kila awezalo ili kujikwamua.

    ReplyDelete
  13. mh!huyu baba mwenye nyumba kimeo sana dah!uswahilini huwa wanatokea

    ReplyDelete
    Replies
    1. jamani wenyenyumba wenyetabia kama hizi acheni mtatukosa wapangaji

      Delete