Sio mwenye nyumba tu ndugu yangu,.,.hata wewe unahusika kwa namna moja au nyingine,.,.vitendo hivi vinahusisha kwanza hata mtu yule anayemiliki kitu na kutaka kumuumiza yule asiyekuwa nacho,.,.tuache TAMAA na tujitambue,.,.KAZI KWETU SOTE,.,.
kweli lucamy unachosema maana mwenye nacho siku zote hutafuta jinsi ya kumyanyasa asiye kuwa nacho...changamoto ni kufanya jitihada ili nawe uweze kupata cha kwako,na ivi vitu ndio vina mpa mtu nguvu ya kufanya kila awezalo ili kujikwamua.
bonge la hongera kwa lindi mnaweza kinoma mmeonyesha uhalisia halisi
ReplyDeleteKweli Vijana wameamka haya ndio mapinduzi ya filamu.
ReplyDeleteduh kama mambo ya nyumba za kupanga ndio ivi inabidi kujenga mapema iwezekanavyo
ReplyDeletejamani huyu baba mwenye nyumba ni noma
ReplyDeletekweli ni noma...kama tabia zenyewe ndio izi kweli maambukizi ya VVU yataisha kweli!!
ReplyDeletemmh vijana wamejitahidi kufikisha ujumbe kweli wenye nyumba wengine wanatabia kama izi kwa hiyo,kwa mfano huu wajirekebishe.
ReplyDeletejamani hao wadada wanakazi na huyo baba mwenye nyumba,je mama mwenye nyumba yuko vipi????
ReplyDeleteMaskini wapangaji mbona kazi wanayo..
ReplyDeleteKazi nzuri vijana wa Lindi wako juu,kweli ujumbe umefika kazi kwa wenye nyumba kujirekebisha.
ReplyDeleteJAMANI NAWASHUKURU SANASANA HAWA VIJANA MAANA UYU MWENYE NYUMBA WETU NI MTATA KAMA WALIKUWEPO...ASANTENI VIJANA
ReplyDeletekazi mzuri sana munastaili pongezi kubwa inatufundisha mno kazi kwenu mwenye nyumba kujirekebisha
ReplyDeleteSio mwenye nyumba tu ndugu yangu,.,.hata wewe unahusika kwa namna moja au nyingine,.,.vitendo hivi vinahusisha kwanza hata mtu yule anayemiliki kitu na kutaka kumuumiza yule asiyekuwa nacho,.,.tuache TAMAA na tujitambue,.,.KAZI KWETU SOTE,.,.
Deletekweli lucamy unachosema maana mwenye nacho siku zote hutafuta jinsi ya kumyanyasa asiye kuwa nacho...changamoto ni kufanya jitihada ili nawe uweze kupata cha kwako,na ivi vitu ndio vina mpa mtu nguvu ya kufanya kila awezalo ili kujikwamua.
ReplyDeletemh!huyu baba mwenye nyumba kimeo sana dah!uswahilini huwa wanatokea
ReplyDeletejamani wenyenyumba wenyetabia kama hizi acheni mtatukosa wapangaji
Delete