Social Icons

Tuesday, March 11, 2014

UZEMBE

Uzembe wa mama wasababisha mtoto kupoteza maisha kwa sumu ya panya,fuatilia kisa hiki chenye mafundisho...

5 comments:

  1. MASKINI POLE KWA MAMA HUYU!

    ReplyDelete
  2. Hii ni bahati mbaya maana mama akujua kama mtoto ametoka shule na kuanza kula samaki bila kuuliza duh hii ni hatari.

    ReplyDelete
  3. jamani wazazi tuwe makini na watoto

    ReplyDelete
  4. jamanii pole kwa familia hii

    ReplyDelete
    Replies
    1. wazazi tuwemakini tunapo tega mitego ya hatari kwani badala ya kufa panya anakufa mwanao daah! pole sana mama.

      Delete